• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WAKULIMA wa korosho Tunduru warejeshewa fedha zao

Imewekwa kuanzia tarehe: August 8th, 2021

WAKULIMA wa korosho waliotapeliwa fedha zao zaidi ya Sh milioni  44 na vyama vya msingi vya ushirika  katika msimu wa korosho wa 2020/2021  katika wilaya  ya Tunduru mkoani Ruvuma wameanza kurejeshewa fedha.

Akikabidhi fedha  kiasi cha Sh 44.2 kwa wakulima hao,Mkuu wa wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro amesema, fedha hizo ni kati ya fedha ambazo wakulima wa korosho waliibiwa na viongozi wa vyama vya Ushirika.

Mkuu wa wilaya, ametoa siku thelathini kwa vyama vya ushirika wilayani humo kuhakikisha wanalipa fedha zilizobakia Sh milioni 11 ili kumaliza kulipa fedha zote kwa wakulima kabla ofisi yake haijaanza kuchukua hatua  dhidi ya viongozi hao.

Aidha Mtatiro, amekabidhi kiasi cha Sh. milioni 18 kwa walimu wastaafu waliodhulumiwa fedha zao na Chama cha Akiba na Mikopo (Saccos) wilayani humo.Mtatiro ametangaza msako mkali kwa walimu wote wenye tabia ya kukopa fedha  na kukabidhi kadi za Benki kwa wakopeshaji kwani kufanya hivyo ni  kuidhalilisha Serikali.

“sio akili  hata kidogo kadi ya benki ni mali ya benki hata mtu anayemiliki sio  ya kwake ni mali ya Benki,unawezaje kumkabidhi mtu mwingine akaye na kadi yako,kwa hiyo tutaendelea kuwaelimisha walimu kuhusiana na tabia hiyo na wale watakaoonekana hawaelewi basi tutalazimika kutumia nguvu kidogo kuwaelewesha”amesema Mtatiro.

Akiongea kwa  niaba ya wenzake,Mwalimu Mstaafu Juma Yasin amemshukuru Mkuu wa wilaya kutokana na jitihada anazochukua dhidi ya vyama vya akiba na mikopo ambavyo vinawadhulumu walimu na watumishi wengine wanaokwenda kukopa fedha.

Amesema, kuna walimu wengi wamekufa na wameacha fedha zao kwani hata kiasi cha Sh milioni 18 zilizokusanywa ni sehemu ndogo  ya fedha walizodhulumiwa walimu wastaafu na chama hicho.

Imeandikwa na Mhidin Amri Tunduru


Matangazo

  • RATIBA ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 March 31, 2023
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAKULIMA wa Ufuta washauriwa kuzalisha kwa wingi msimu ujao

    June 08, 2023
  • SERIKALI yawajengea uwezo Maafisa tehama na Maafisa habari-Mkoa Ruvuma

    June 08, 2023
  • TUMIENI mfumo wa stakabadhi ghalani-RC RUVUMA

    June 08, 2023
  • HABARI picha

    June 08, 2023
  • Tazama zote

Video

HAIJAWAHI kutokea Namtumbo wanunua ufuta kilo sh.4105,wapongeza mfumo wa stakabadhi
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.