• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WANANCHI, Ruvuma wahimizwa kuchangamkia msamaha wa riba ya kodi ya pango la Aridhi

Imewekwa kuanzia tarehe: October 12th, 2022

Mthamini na Mratibu wa kodi ya aridhi Mkoa wa Ruvuma Herbert Mlowe amewataka Wananchi mkoani umo wachangamkie msamaha wa riba kodi ya pango la Aridhi uliotolewa na Rais kuanzia mwezi julai  hadi Desemba 2022

Hayo ameyasema katika mkutano na wananchi uliofanyika kata ya Ruhuwiko manisapaa ya Songea mkoani Ruvuma wakati wa zoezi la kukabidhi hati miliki za viwanja kwa wananchi hao baada ya kurasimisha Aridhi zao

Mlowe alisema Serikali imetoa msamaha huo kwa watu ambao wana malimbikizo riba ya kodi ya pango la Aridhi kuanzia mwaka 1996/97 hadi 2018/19 hivyo wamepewa msamaha kwa kuondolewa riba na wanatakiwa kulipa kodi ya msingi tu

“Rais Samia Suluhu Hassani ameridhia kusamehe riba ya kodi ya pango la aridhi kwa wadaiwa sugu kwa masharti kwamba  wadahiwa hao wawe wamelipa madeni ya msingi ndani ya mienzi sita kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka huu” alisema Mlowe.

Hata hivyo amewapongeza ambao wamekabidhiwa hati zao alisema hatua ya kumilikishwa ardhi kwa nyaraka kuna faida kubwa katika maisha ya kila siku kwani itasaidia kuongeze usalama wa aridhi, kupunguza migogoro  na nyaraka hiyo kutumika kama dhamana.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • UTARATIBU wa kupandisha hadhi barabara June 30, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ujenzi wa Stendi mpya ya kisasa Songea-DC

    February 02, 2023
  • UJENZI wa Vyumba vya Madarasa

    February 02, 2023
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA MKOANI RUVUMA

    February 01, 2023
  • MATUKIO picha

    January 31, 2023
  • Tazama zote

Video

BARABARA ya Songea -Msumbiji kuanza kujengwa
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.