• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WATENDAJI msikwamishe shughuli za vijana

Imewekwa kuanzia tarehe: November 28th, 2025

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana Joel Nanauka  ameendelea na ziara yake maalum ya kukutana na kuzungumza na Vijana katika Mkoa wa Ruvuma ambapo ameonya dhidi ya watendaji wa Serikali  wanaokwamisha shughuli za Vijana kuwa hawatavumiliwa.

Akiwa Wilayani Songea leo Ijumaa (28 Novemba 2025) amekutana na Vijana wajasiliamali wanaofanya shughuli katika Soko la Bombambili na Stendi ya magari ya Ruhuwiko ambapo amesikiliza mawazo na ushauri wa Vijana ikiwemo kutatua kero .

Katika mazungumzo hayo  Vijana wa Manispaa ya Songea wamelalamikia ucheleweshaji wa upatikanaji mikopo toka Halmashauri, mazingira yasiyoridhisha ya kufanyia biashara ikiwemo kero ya tozo na ushuru.

Waziri Nanauka amewaeleza  Vijana hao kuwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan anayo dhamira ya dhati kuona Vijana wanashiriki kikamilifu kwenye ujenzi wa nchi hivyo kuwasihi waitunze amani na kutumia njia ya mazungumzo kutatua changamoto ndio maana akaamua  kuundwa kwa Wizara maalum ya Vijana.

Katika hatua nyingine, Waziri Nanauka amewataka viongozi wa Mkoa na wilaya  kuweka utaratibu wa kutoka Ofisini na kuwafuata Vijana walipo ili kusikiliza hoja na kero zinazowakabili.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Songea Wilhelm Ndile alisema wamepokea maelekezo na kwamba wataratibu vikao na Wajasiliamali Vijana pamoja na waendesha bodaboda ili kuzitafutia suluhisho changamoto walizozitoa kwenye ziara ya Waziri.

Kijana Arnold Mgawo wa Bombambili alisema anapenda kuona Rais Samia Suluhu Hassan anadhibiti vitendo vya utekaji na kupatikana kwa demokrasia ya Vijana kuzungumza .

Omary Amad pia kutoka Bombambili alisema aliomba Serikali iweke utaratibu nzuri wa utolewaji mikopo ya Halmashauri ili Vijana wengi waifikie kwa aurahisi Bola vikwazo.

Naye Benedict Tembo alimshauri Waziri asikubali kusikiliza watendaji wake kwa kuwa baadhi hawasemi ukweli kuhusu changamoto za Vijana na badala yale aachukie hatua kwa wazembe.

" Wewe ni Waziri mpya wa Vijana, watakaokuangusha ni wafanyakazi wanaokusaidia kutekeleza shughuli. Mama Samia ana lengo zuri na watanzania lakini wanaomharibia ni wafanyakazi wanaoshindwa kutatua kero za Vijana" alisema Tembo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Mary Maganga ,mkoa una takribani Vijana 676,144 kati ya watu wote 1,848,394  na kwamba wanajishughulisha na ujasiliamali pamoja na kilimo.


Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma May 31, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA ardhi Ruvuma wakabidhiwa vitendeakazi

    February 09, 2026
  • BWAWA lisilokauka juu ya mlima linavyovutia wengi Namtumbo

    February 08, 2026
  • URITHI wa Papa ulivyogeuka urithi kwa Viziwi Songea

    February 08, 2026
  • BILIONI 1.67 kuchochea mapinduzi ya barabara Songea

    February 06, 2026
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AERO88
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • situs toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • situs toto
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • slot gacor
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88