Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma imefanikiwa kuwarejesha nchini watoto wa kike wawili ambao walitoroshwa kutoka katika kijiji cha Mkowela kata ya Namakambale wilayani Tunduru kwenda eneo la Sufuri B nchini Msumbiji kutumikishwa kazi za kuuza bar.
Afisa Malalamiko na kero kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Amina Tindwa amefika katika kijij cha Mkowela wilayani Tunduru kuonana na watoto hao na Wazazi wao baada ya kufikishwa nyumbani kwao salama
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.