• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WATUHUMIWA wa ujangili na mauaji wakamatwa Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: August 21st, 2025

Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma linawashikilia watuhumiwa saba baada ya kukamatwa na nyara mbalimbali za wanyamapori zenye thamani ya zaidi  ya shilingi milioni 314, Nyara hizo ni pamoja na meno ya tembo 64, meno ya kiboko 145 na meno mawili ya ngiri.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma SACP Marco Chilya  ameeleza hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za makao makuu ya polisi mkoani Ruvuma.

Kamanda Chilya ameeleza kuwa  watuhumiwa hao walikamatwa tarehe 18 Agosti 2025 katika Kijiji cha Mgazini Kata ya Peramiho, iliyopo Songea Vijijini na Kata ya Shauri Tanga  iliyopo Manispaa ya Songea ikiwa ni muendelezo wa operesheni zinazoendeshwa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Uhifadhi wa Wanyamapori (TAWA).

Kamanda ameongeza kuwa Jeshi la Polisi linaendelea kuwasaka watu wote wanaojihusisha na biashara na uwindaji haramu wa wanyamapori katika hifadhi za Mkoa wa Ruvuma huku watuhumiwa waliokamatwa wakitarajiwa kufikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria.

Katika hatua nyingine Kamanda Chilya amebainisha kuwa Jeshi la Polisi   limefanikiwa kumkamata mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Maiko Lusekelo Mwakikuyu (50) kwa tuhuma za kutengeneza bidhaa bandia.

Ameeleza kuwa  Mtuhumiwa huyo alikamatwa tarehe 15 Agosti 2025 maeneo ya Mjimwema, Manispaa ya Songea akiwa na pombe haramu zilizotengenezwa bila kibali ikiwemo chupa 8 za Master Portable Spirit, chupa 9 za Konyagi na chupa 3 za Smart Gin na pia alikutwa na vifaa vya utengenezaji pombe hizo vikiwemo kemikali na lebo za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Kamanda Chilya amesema mtuhumiwa huyo alikuwa akitengeneza pombe hizo haramu ndani ya nyumba aliyokuwa amepanga.

katika tukio la Tatu, Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wa mauaji ya Ramadhan Hakim (19) maarufu kwa jina la Mapunda ambaye alikuwa dereva bodaboda na mkazi wa Mateka.

Kamanda Chilya ameeleza kuwa Marehemu aliuawa tarehe 19 Juni 2025 baada ya kupigwa kichwani na kitu kizito na watu wasiojulikana waliomnyang’anya pikipiki yake.

Amebainisha kuwa tarehe 15 Agosti 2025 Polisi walimkamata mmoja wa watuhumiwa wa tukio hilo  Damas Atanas (32) katika nyumba ya kulala wageni T-Junction iliyopo Manispaa ya Songea na baada ya kuhojiwa mtuhumiwa alikiri kushiriki mauaji hayo kwa kushirikiana na mwenzake anayefahamika kwa jina la Erick Kifaru.

Aidha, upelelezi uliendelea na mnamo tarehe 17 Agosti 2025 Jeshi la Polisi lilifanikiwa kumkamata Erick Kifaru katika Kijiji cha Kiwanga, Bagamoyo mkoa wa Pwani akiwa na pikipiki waliyoiiba, ambayo tayari ilikuwa imebadilishwa namba za usajili.

Katika tukio la nne kamanda ameeleza mnamo tarehe 13/8/2025 Lituhi wilayani nyas, Anisia Piji(30) alijeruhiwa kwa kung'atwa meno mdomo wa chini hadi kunyofolewa Kipande cha mdomo cha chini na mtuhumiwa aliyefahamika kama mazura jina maaarufu kama Mama Yusta aliyetoroka badaa ya kutenda tukio ilo chanzo kikiwa ni ugomvi ulitokea baada ya mtoto wa mazura kupigwa na mtuhumiwa na juhudi za kumkamata zinaendelea

kamanda Chilya amesisitiza kuwa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma linaendelea kutoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa za uharifu na wahalifu Ili waweze kukamatwa na mkoa Kuendelea kuwa salama wakati wote

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma May 31, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA ardhi Ruvuma wakabidhiwa vitendeakazi

    February 09, 2026
  • BWAWA lisilokauka juu ya mlima linavyovutia wengi Namtumbo

    February 08, 2026
  • URITHI wa Papa ulivyogeuka urithi kwa Viziwi Songea

    February 08, 2026
  • BILIONI 1.67 kuchochea mapinduzi ya barabara Songea

    February 06, 2026
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AERO88
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • situs toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • situs toto
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • slot gacor
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88