• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WIKI ya Huduma kwa wateja,NMB ilivyodhamiria kuimarisha sekta ya elimu na afya

Imewekwa kuanzia tarehe: October 7th, 2021

BENKI ya NMB imedhamiria kuimarisha sekta ya elimu na afya hapa nchini kutokana na sekta hizo kuwa nguzo ya maendeleo ya jamii kitaifa na kimataifa.

Hayo yamesemwa na  Afisa Mkuu Udhibiti na Utekelezaji wa NMB Oscar Nyirenda katika hafla ya kugawa msaada wa bati 240 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 6.7 zilizotolewa na NMB kwa ajili ya shule ya sekondari ya Litembo wilayani Mbinga mkoani Ruvuma kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja Kanda ya Kusini.

Amesema NMB inaunga mkono Juhudi za serikali ya awamu ya sita katika kusaidia jamii kwa sababu NMB inapata mafanikio makubwa kupitia jamii ya watanzania wote.

‘’Tumekuwa tunaendelea kutoa msaada wa vifaa tiba kama magodoro na vitanda katika vituo mbalimbali vya kutolea huduma ya afya,pia tumekuwa tunaendelea kusaidia sekta ya elimu ambapo katika  Juma hili la huduma kwa wateja NMB imeadhimisha katika Kanda zote ikiwemo ya Kusini’’,alisema .

Amesema Septemba 25 mwaka huu Benki ya NMB ilifanikiwa kukusanya shilingi milioni  400 za kusaidia akinamama wenye tatizo  la fistula ambapo walifanikiwa kukusanya michango kwa asilimia 160 ya lengo.

Nyirenda amesema Benki ya NMB kila mwaka imekuwa inatenga asilimia moja ya faida yake ili kuendelea kurudisha sehemu ya faida kwa jamii kwa kusaidia maendeleo ambapo katika kipindi cha miaka kumi iliyopita NMB imepeleka zaidi ya bilioni 12 ili kuchochea kasi ya maendeleo katika jamii.

Hadi sasa NMB ina matawi 225 ambayo yamesambaa katika wilaya zote,pia NMB ina mawakala zaidi ya 6,000 nchini kote na mashine za kutolea fedha zaidi ya 700.

Imeandikwa na Albano Midelo,Mbinga

Oktoba 6,2021

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara July 31, 2022
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma July 31, 2022
  • MKATABA wa Lishe Mkoa wa Ruvuma June 30, 2022
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025 August 31, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DKT.Lawrence Gama alivyoacha kumbukumbu zinazoishi Ruvuma

    May 24, 2022
  • SERIKALI yakabidhi vifaa tiba mtandao hospitali ya Rufaa Ruvuma

    May 23, 2022
  • TFS Kusini yapanda miti milioni 4.3

    May 23, 2022
  • MAAFISA Ugani Ruvuma wapewa mafunzo,wakabidhiwa pikipiki 282

    May 23, 2022
  • Tazama zote

Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali apongeza Mkoa wa Ruvuma kwa kuongoza habari mtandaoni
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.