• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

ZAO la korosho lawaingizia wakulima Ruvuma bilioni 291

Imewekwa kuanzia tarehe: November 9th, 2022

TAKWIMU za uzalishaji wa  zao la korosho mkoani Ruvuma zinaonesha kuwa katika kipindi cha miaka mitano mfululizo zao hilo limewaingizia wakulima shilingi bilioni 291.9.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas  wakati anafungua mkutano wa  wadau wa korosho uliofanyika kwenye ukumbi wa Cluster mjini Tunduru.

Amesema kuanzia msimu wa kilimo wa mwaka 2017/2018 hadi kufikia msimu wa mwaka2021/2022 wakulima walivuna jumla ya kilo za korosho  104,819,739 zilizouzwa kwa wastani wa bei ya shilingi 2,802 na kuwapatia wakulima mabilioni ya fedha.

Hata hivyo Kanali Thomas amesema katika msimu wa mwaka 2021/2022 pekee, Mkoa wa Ruvuma ulikusanya jumla ya kilo 25,284,493 za korosho zenye thamani ya shilingi bilioni 50.6 ambazo zimeuzwa kwa wastani wa bei ya shilingi 1,971.60 kwa kilo.

“Katika kuendeleza zao la korosho juhudi nyingi zimefanywa na serikali na wadau wa korosho,katika msimu wa mwaka 2021/2022 kilo 7,183 za mbegu za korosho zilisambazwa kwa wakulima,kilo 1,569,525 za viuatilifu vya salfa ya unga na viuatilifu vya maji lita 89,717 vilisambazwa kwa wakulima’’,alisema RC Thomas.

Mkutano huo umewezesha kufungua msimu wa masoko wa 2022/2023 ambapo Mkoa wa Ruvuma umejiwekea malengo ya kuzalisha tani 32,069,501 za korosho na kuwezesha kuchangia lengo la kitaifa la kuongeza uzalishaji wa korosho ghafi na kufikia tani 700,000 ifikapo mwaka 2025/2026.

Mkoa wa Ruvuma unashika nafasi ya tatu kitaifa katika uzalishaji wa zao la korosho,ukiongozwa na mikoa ya Mtwara na Lindi.

Imeandikwa na Albano Midelo

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Mkoa wa Ruvuma

Novemba 9,2022

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • UTARATIBU wa kupandisha hadhi barabara June 30, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA alivyodhamiria kuwekeza tena kwenye elimu ya sekondari

    March 24, 2023
  • CHIFU wa Tano wa kabila la wangoni Emanuel Zulu Gama

    March 24, 2023
  • MAABARA ya kisasa katika sekondari ya Lusonga Mbinga

    March 23, 2023
  • TUFANYE utalii wa ndani tusisubiri wageni kutoka nje

    March 24, 2023
  • Tazama zote

Video

RAIS SAMIA alivyomaliza kero ya maji Songea
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.