Imewekwa kuanzia tarehe: January 31st, 2025
Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma umetambulisha mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya Tsh Bilioni 3.7. Mradi huu unalenga kutatua changamoto ya maji ...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 30th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, ameipongeza Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama kwa usimamizi mzuri wa miradi ya shule na utunzaji wa mazingira.
Amewataka viongozi wa shule hiyo...