Imewekwa kuanzia tarehe: December 26th, 2021
MADARASA Mawili mapya katika shule ya sekondari Namihoro Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma yamegharimu shilingi milioni 40,yamekamilika kwa asilimia 100 yakiwa na meza na viti 80 tayari ku...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 26th, 2021
SERIKALI imetoa shilingi milioni 200 kupitia fedha za UVIKO kukamilisha ujenzi wa madarasa mapya kumi katika shule ya sekondari ya Maposeni Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.Madarasa...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 23rd, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma imekamilisha madarasa 65 ya UVIKO kati ya hayo madarasa 46 ya sekondari na madarasa 19 ya shule shikizi za msingi.
...