Imewekwa kuanzia tarehe: June 8th, 2024
Mwenge wa Uhuru 2024 umezindua jengo la kutolea huduma za dharura (EMD)katika hospitali ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma ambapo serikali imetoa Zaidi ya shilingi milioni 369 kutekeleza mradi huo.
...
Imewekwa kuanzia tarehe: June 8th, 2024
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed katika kijiji cha Sautimoja wilayani Tunduru.
Mwenge wa Uhuru uki...
Imewekwa kuanzia tarehe: June 8th, 2024
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Godfrey Mnzava ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji uliopo katika Kijiji cha Tuwemacho Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma mradi ambao unatekelezwa kwa...