Imewekwa kuanzia tarehe: July 28th, 2021
TANI 70.2 za viuatilifu feki vya korosho aina ya salfa vimekatwa na serikali Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma kufuatia oparesheni Maalum iliyofanywa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ...
Imewekwa kuanzia tarehe: July 26th, 2021
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amewaonya wazazi na walezi wanaowashawishi watoto wao kuacha kusoma shule waache tabia hiyo badala yake wawaache watoto wao wasome kwa kuwa...