Imewekwa kuanzia tarehe: October 23rd, 2021
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amevipongeza vyombo vya habari mkoani Ruvuma kwa kutekeleza ipasavyo wajibu wake kwa umma katika mapambano dhidi ya UVIKO 19.
Brigedia Jeneral...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 22nd, 2021
MKOA wa Ruvuma umeongoza kitaifa zoezi la utoaji chanjo ya UVIKO 91 kwa kutoa chanjo kwa watu 44,549 sawa na asilimia 148.5.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 21st, 2021
UTEKELEZAJI wa mapitio ya mpango wa upangaji wajasirimali wadogo (Machinga) katika maeneo rasmi ya kufanyia biashara, mkoani Ruvuma utafanyika kwa kipindi cha miezi mitatu.
Haya yamesemwa na Mkuu w...