Imewekwa kuanzia tarehe: March 14th, 2021
TAASISI isiyokuwa ya kiserikali ya Saint Teresa Orphans Foundation (STOF) imetoa mchango mkubwa katika sekta ya ustawi wa jamii na afya mkoani Ruvuma.
Mkurugenzi wa STOF Teresa Nyirenda anase...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 14th, 2021
BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 32 katika wilaya za Namtumbo na Songea mkoani Ruvuma.
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika hafla ya ujtoaji wa vifaa hivyo k...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 13th, 2021
SERIKALI ya Awamu ya Tano imetoa zaidi ya shilingi bilioni saba kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya Maji Mkoani Ruvuma.
Akizungumza na wanahabari ofisini kwake mjini Songea,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma...