Imewekwa kuanzia tarehe: April 18th, 2020
WAFANYAKAZI wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma wametekeleza maagizo ya Rais Dkt.John Magufuli kwa kufanya maombi ya kutokomeza virusi vya corona hapa nchini.
Rais Magufuli ametoa rai kwa watan...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 18th, 2020
MGANGA Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr,Jairy Nkhanga ametoa rai kwa wananchi kushirikishwa katika mapambano dhidi ya virusi hatari vya corona.
Dr. Nkanga ametoa rai hiyo kwenye kikao cha Kamati ya ...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 18th, 2020
Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Ruvuma Imeokoa mifuko 100 ya saruji katika mradi wa ujenzi wa zahanati ya Masimeli katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga.
Akitoa taarifa ya ute...