Imewekwa kuanzia tarehe: February 16th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametembelea na kuwafariji watu 355 waliopata maafa katika kata za Linga na Ruhuhu wilaya ya Nyasa baada kufurika mto Ruhuhu na kusababisha hasara ya milioni 180...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 15th, 2020
Benki ya NMB imetoa jumla ya madawati 191 yenye thamani ya shilingi milioni 15 katika shule mbili za sekondari wilaya ya Mbinga na shule moja ya msingi wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
Meneja ...