Imewekwa kuanzia tarehe: March 23rd, 2025
MKUU wa Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma Mheshimiwa Kapenjama Ndile, ametoa ushauri kwa Msajili wa Vyama vya Wafanyakazi nchini kutafakari upya kuhusu uwepo wa zaidi ya chama kimoja cha wafanyakazi wa ...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 23rd, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Mheshimiwa Ngollo Malenya amezindua mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 60 katika kijiji cha Kilimasera, kata ya Mchomoro.
Mradi huo uliahidiwa ...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 22nd, 2025
Wakazi wapatao 11,080 kutoka vijiji vya Ngumbo, Mbuli, Mkili, Liwundi na Yola wilayani Nyasa mkoani Ruvuma wanatarajiwa kupata huduma ya maji safi na salama kupitia mradi wa maji wa Ngumbo...