Imewekwa kuanzia tarehe: March 19th, 2024
Mkoa wa Ruvuma kupitia RUWASA unatekeleza miradi ya maji 36 Katika Wilaya zote inayogharimu zaidi ya shilingi bilioni 66.
Rais wa Awamu ya Sita Dkt Samia Suluhu Hassan amedhamiria kumtua mama ndoo ...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 19th, 2024
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetenga zaidi ya shilingi bilioni nne kutekeleza mradi wa ujenzi wa sekondari ya mfano ya wasichana mkoani Ruvuma yenye uwezo wa...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 19th, 2024
Wizara ya Maliasili na Utalii inamatarajio makubwa ya kuimarika kwa shughuli za doria za kudhibiti wanyamapori wakali na waharibifu na hivyo kupunguza migongano baina ya binadamu na wanyamapori baada ...