Imewekwa kuanzia tarehe: October 29th, 2023
Wakati Tanzania ikiendelea na mapambano dhidi ya mimba za utotoni kuna baadhi ya mikoa bado changamoto hiyo ipo kwa kiasi kikubwa hivyo kutia doa harakati za mapambano hayo.
Rais Samia Suluhu Hassa...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 29th, 2023
Wananchi wa Kata ya Mpepo Wilayani nyasa mkoani Ruvuma wameipongeza Serikali Kwa kutatua changamoto ya barabara ya Luhindo- Mpepo hadi Darpori ambayo imetengezwa Kwa kiwango Cha changarawe hivyo...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 29th, 2023
Mfuko wa Global Fund umetoa zaidi ya shilingi milioni 545 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Afya kata ya Mletele katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea mjini mkoani Ruvuma.
Taarifa hiyo imetolewa na...