Imewekwa kuanzia tarehe: April 24th, 2023
Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalla Shaib Kaim ameridhia kufungua mradi wa kuboresha huduma ya maji safi katika kata za Bethlehem ,Matarawe na Ruhuwiko Halmashauri ya mji wa Mbinga ...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 24th, 2023
Pichani juu ni Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalla Shaib Kaim wa kwanza kushoto na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas mbele kulia wakipanda miti kwenye mradi wa hifadhi ya m...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 24th, 2023
Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 umeendelea na mbio zake katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma kwa kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Myangayanga ambapo serikali im...