Imewekwa kuanzia tarehe: April 23rd, 2023
KIONGOZI wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalla Shaib Kaim ameridhia kufungua jengo la kutolea huduma za dharura (EMD) katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea ambalo serikali kupitia Wizara ya...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 23rd, 2023
Mradi wa ujenzi wa Madarasa mawili katika shule ya sekondari ya wasichana Mbinga mkoani Ruvuma yaliyozinduliwa na Mwenge wa Uhuru 2023 yamegharimu zaidi ya shilingi milioni 40...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 23rd, 2023
MWENGE wa Uhuru Kitaifa 2023 bado upo mkoani Ruvuma ambapo hadi sasa tayari umekagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri sita kati ya nane zilizopo mkoani Ruvuma
Aprili 22,2023 Mwenge...