Imewekwa kuanzia tarehe: June 23rd, 2023
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezipongeza halmashauri tatu katika wilaya ya Songea kwa kupata Hati safi kwenye matokeo ya ukaguzi wa CAG unaoishia Juni 2022.
Halmashauri zilizopata Ha...
Imewekwa kuanzia tarehe: June 21st, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ametoa maagizo 20 kwa Halmashauri mbili zilizopata hati zenye mashaka ili ziweze kubadilika na kurejea kwenye hati safi.
Kanali Thomas ametoa maagizo hayo...
Imewekwa kuanzia tarehe: June 21st, 2023
IDADI ya watu katika mkoa wa Ruvuma imeongezeka kutoka watu milioni 1,376,891 mwaka 2012,hadi kufikia 1,848,794 sawa na ongezeko la watu 471,903 katika kipindi cha miaka kumi.
Idadi hi...