Imewekwa kuanzia tarehe: March 20th, 2023
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia program ya SEQUP imetoa shilingi bilioni tatu kujenga sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Ruvuma katika eneo la Migelegele ...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 20th, 2023
MIAKA MIWILI YA RAIS DKT SAMIA YAONGEZA MAJI VIJIJINI
Kulingana na Sensa ya mwaka 2022, Mkoa wa Ruvuma una jumla ya watu 1,848,794.
Inakadiriwa watu 1,005745 kati 1,479,036 wanaoishi...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 20th, 2023
HIFADHI ya Wanyamapori ya Mbambabay ina jumla ya hekta 597 ikiwa ni milima miwili ambayo ni (Mlima Mbamba wenye hekta 440 na Mlima Tumbi hekta 110 , visiwa viwili vya Lundo chenye ukubwa wa &nbs...