Imewekwa kuanzia tarehe: March 12th, 2023
MKATABA wa ujenzi wa mradi wa maji wa miji 28 katika mji wa Songea wenye thamani ya shilingi bilioni 145.77 ambao unatekelezwa kwa miezi 32 umesainiwa na kuleta tabasamu kwa wananchi wa mji wa Songea ...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 12th, 2023
Sekta ya utalii katika Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma imefunguka baada ya wawekezaji kuanza kujitokeza kuwekeza mwambao mwa ziwa Nyasa ambapo Madenge bay beach resort amejenga hoteli hii eneo la ...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 12th, 2023
Serikali imetoa shilingi bilioni 129 kujenga barabara ya lami nzito yenye urefu wa kilometa 66 kutoka Mbinga hadi Mbambabay Wilaya ya Nyasa hali inayochochea maendeleo ya kiuchumi mwambao mwa ziwa Nya...