Imewekwa kuanzia tarehe: August 25th, 2025
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Marco G. Chilya, amewataka watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto mkoani humo kuongeza juhudi katika utoaji elimu kwa j...
Imewekwa kuanzia tarehe: August 23rd, 2025
katika Msitu wa Hifadhi ya Matogoro Mashariki, hazina ya kipekee iliyofichwa takribani kilomita 15 tu kutoka katikati ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Hapa, upepo hubeba harufu ya miombo, ndege wa ...
Imewekwa kuanzia tarehe: August 23rd, 2025
Katika kona ya kusini mwa Tanzania, katikati ya mji wa kihistoria wa Songea mkoani Ruvuma, kuna hazina ya dhahabu isiyo na thamani ya fedha bali ya kumbukumbu,utu na uzalendo.
Makumbusho ya K...