Imewekwa kuanzia tarehe: February 2nd, 2025
Mkuu Wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha nyingi za kujenga miundombinu ya elimu ikiwemo shule,madarasa na ununuzi wa samani mbalim...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 1st, 2025
Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo ameziagiza Halmashauri zote nane kushughulikia kero na malalamiko ya wananchi kwa ufanisi zaidi.
Agizo hilo limetolewa katika Baraza la Madiwani la Halm...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 1st, 2025
Baraza huru la wazee wa Jimbo la Madaba, likiongozwa na Chief Yukundusi Chabruma Tawete, limemuomba Mbunge wa jimbo hilo, Mhe. Dkt. Joseph Kizito Mhagama, kugombea tena katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2...