Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert amesema wananchi wa Ruvuma hawahitaji kuhamasishwa kulima kwa sababu wamevuka kiwango cha kuhamasishwa hali inayosababisha Mkoa wa Ruvuma umeendelea kuwa kapu la Taifa la chakula kwa miaka kadhaa sasa
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amesema bajeti ya kilimo iliyotengwa mwaka huu na serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amesisitiza Uongozi wa Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea kutoa elimu ya ujasirimiamali kwa Vikundi ili kuwawezesha na kujua mtaji unawapa faida. RC Ibuge ametoa msisitizo huo wakati akizungumza kwenye kikao maalum cha CAG cha Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Madaba
Regional Commissioner Office
Anuwani: 74 Songea
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.