MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema mkoa wa Ruvuma unaongoza nchini kwa kufanya vizuri kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani ambapo katika zao la ufuta pekee zilipatikana zaidi ya bilioni 24
Zoezi la sensa ya mifugo,kilimo na Uvuvi limeanza mkoani Ruvuma.Zoezi limeanza Agosti 5 na linatarajia kukamilika Oktoba 3 mwaka huu
Aurelius Joseph Njelekela Mkazi wa mji mdogo wa Peramiho Halmashauri ya wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ameshinda Tuzo mbili ambazo ni mshindi wa kwanza katika mkoa wa Ruvuma katika ufugaji bora wa samaki na ameshinda Tuzo ya mshindi wa pili katika ufugaji bora wa samaki na kuku Nyanda za Juu Kusini
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.