Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni Mstaafu Gorge Mkuchika amesema serikali imefanikiwa kuboresha miundombinu ya barabara katika Mkoa wa Ruvuma kwa kiwango kikubwa ukilinganisha na siku za nyuma ambapo watu walitumia wiki nzima barabarani.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameuagiza Uongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo kuhakikisha kuwa Kituo cha Afya Mtakanini kinaanza kutoa huduma za matibabu kuanzia Septemba 15 mwaka huu.
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameiagiza TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma kung'ata kila sehemu ili kuhakikisha kuwa suala la rushwa linatokomezwa nchini kutokana na kuwa na madhara makubwa katika jamii
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.