SERIKALI kupitia RUWASA wilaya ya Songea imetekeleza mradi wa maji ya bomba katika kijiji cha Muhukuru wilayani Songea ambao umegharimu shilingi milioni 138.
Chama kikuu cha Ushirika cha wilaya za Mbinga na Nyasa MBIFACU kinatekeleza miradi mingi ambayo inaongeza mapato ya chama hicho na kuimarisha ushirika kwa wakulima mkoani Ruvuma.
Kampuni ya CHICCO inaendelea na kazi ya kukamilisha ujenzi wa uwanja wa ndege wa Songea ambapo serikali imetoa shilingi bilioni 39 kutekeleza mradi huo ambao mkataba wake unaishia Desemba 28,mwaka huu.Mradi umefikia asilimia 50 ambapo tayari ndege NDOGO zimeanza kutua kwenye uwanja mpya na ndege kubwa aina ya BOMBADIER zinatarajia kuruhusiw kuanzia Agosti mwaka huu.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.