BARAZA la makanisa ya kipentekoste Tanzania Mkoa wa Ruvuma limemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme msaada wa vifaa mbalimbali vya kukabiliana na virusi vya corona vyenye thamani ya shilingi milioni 1.5Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika kwenye viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea.
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Tanzania imeshinda katika vita ya corona ambapo idadi ya wagonjwa imepungua kwa kasi,hata hivyo amesema corona bado ipo inatakiwa wananchi waendelea kuchukua tahadhari
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.