Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesikitishwa na Halmashauri ya Manispaa ya Songea kupata Hati yenye mashaka katika ukaguzi wa CAG wa mwaka 2018:2019 na ameagiza wote waliosababisha wachukuliwe hatua.
UWT Mkoa wa Ruvuma wametoa vifaa vya kukabiliana na vita ya Corona ambavyo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma christina Mndeme anevikabidhi kwa Jeshi la Magereza Mkoa wa Ruvuma ili vitumike kwa Askari na wading was
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli 03 Mei, 2020 amemuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.