Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewatahadharisha madereva boda mkoani hapa kuhakikisha wanachukua tahadhari wakati wanabeba abiria ili kukabiliana na virusi hatari vya Corona.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema serikali itawachukulia hatua wote wanaotoa taarifa potofu za ugonjwa wa corona katika Mkoa wa Ruvuma na kuwataka wananchi kupuuza taarifa ambazo zinatolewa katika Mamlaka ambazo sio sahihi
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.