SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi bilioni 3.12 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa 156 katika shule 68 za sekondari mkoani Ruvuma.
MKOA wa Ruvuma wapokea bilioni 3.12 kujenga madarasa 156 ya sekondari 68
October 5th, 2022
MWANZO MWISHO GWARIDE LA ASKALI WA UHIFADHI MISITU NAMTUMBO