Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amesema bajeti ya kilimo iliyotengwa mwaka huu na serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amesisitiza Uongozi wa Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea kutoa elimu ya ujasirimiamali kwa Vikundi ili kuwawezesha na kujua mtaji unawapa faida. RC Ibuge ametoa msisitizo huo wakati akizungumza kwenye kikao maalum cha CAG cha Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Madaba
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameagiza kuchukuliwa hatua kwa wote walihusika na ubadhirifu wa ujenzi, mradi wa hospitali ya Halmashauri ya Madaba na kwamba ametoa siku 60 mradi huo kukamilika kwa asilimia 100.Serikali imetoa shilingi bilioni 1.8 kutekeleza mradi huo.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.