Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma amewaagiza viongozi wa vyama vikuu vya ushirika mkoani Ruvuma kuwasimamia makarani wa vyama vyao na kuhakikisha uaminifu unarejeshwa ili kutowadhulumu wakulima wanapokwenda kuuza mazao yao kwenye vyama vya ushirika.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ametoa rai kwa wananchi kuacha kuangaika na taarifa za corona kutoka kwenye mitandao badala yake watumie wataalam wa afya kupata taarifa sahihi za corona
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.