Wakazi zaidi ya 14,000 kutoka Vijiji vya Lundo,Ngindo na Lipingo wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wanatarajia kukabidhiwa mradi wa maji toka RUWASA Juni Mosi mwaka huu.