Mkuu wa wilaya ya Songea pololet Mgema ametembelea mradi wa maji Madaba ambao wiki iliyopita ulikaguliwa na Kamati ya Siasa ya CCM mkoa wa Ruvuma.
Mkoa wa Ruvuma unajenga shule maalum ya wasichana ya Mkoa katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea lengo la shule hiyo itakayoanza kidato cha kwanza hadi cha sita ni kupunguza chanagmoto ya mimba za utotoni
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema serikali inachukua hatua za muda mfupi na mrefu kupunguza na kuondoa changamoto za maji wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.