Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekabidhi tuzo waliopewa TRA mkoani Ruvuma baada ya kuvuka malengo ukusanyaji mapato kitaifa
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Oddo Mwisho imekagua mradi wa maji Likuyusekamaganga wilaya ya Namtumbo ambao umegharimu shilingi bilioni 3.5
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.