Kituo cha Afya Madaba wilaya ya Songea mkoani Ruvuma kilizinduliwa na Rais Dkt John Magufuli mwaka 2019 kwa niaba ya vituo vingine vya afya nchini.
Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt John Magufuli imetoa jumla ya shilingi bilioni tatu kutekeleza mradi wa jengo la Halmashauri ambalo limeanza kutumika.
Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma imetumia shilingi milioni 400 kwa ajili ya kutekeleza ujenzi wa hosteli tano za sekondari
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.