Tamasha la kumbukizi ya miaka 114 la mashujaa wa vita ya Majimaji kufanyika katika Viwanja vya makumbusho ya Taifa ya Majimaji Songea kuanzia Februari 22 hadi 27 mwaka huu.
TASAF imeendesha mafunzo ya siku sita ya kuibua miradi ngazi ya Jamii kwa wawezeshaji 25 kutoka Halmashauri za Madaba na Songea wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.Mtaalam wa TASAF Makao Makuu Lukas Anton amesema Mafunzo hayo yatapeleka maarifa kwa walengwa wa miradi ngazi ya jamii 5400 kati yao 3800 kutoka Halmashauri ya wilaya ya Songea na 1600 Halmashauri ya Madaba ikiwa ni utekelezaji wa TASAF Awamu ya Tatu.
KUELEKEA kumbukizi ya miaka 114 ya mashujaa wa vita ya Majimaji mfahamu mwanamke shupavu aliyepambana na wajerumani katika vita hiyo iliyoanza mwaka 1905 na kumalizika mwaka 1907.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.