Fahamu maajabu ya mto Ruvuma ambao unaanzia milima ya Matogoro Manispaa ya Songea na kumwaga maji yake katika bahari ya Hindi.Mto huo una urefu wa takriban kilometa zaidi ya 800
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewaagiza TAWA kupeleka wanyamapori katika kisiwa cha Lundo kilichopo ndani ya ziwa Nyasa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma
Mtazame Mratibu wa Utalii Kanda ya Kusini Deborah Mwakanosya akizungumzia usiyoyajua kuhusu Mto Ruvuma ambao ni moja ya vivutio adimu vya utalii mkoani Ruvuma
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.