Waziri Mkuu amekagua mradi wa kiwanja cha ndege cha Songea ambacho serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 37 kukarabati kiwanja cha ndege Songea
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amempongeza Mkurugenzi wa Mji Mbinga mkoani Ruvuma Grace Quntine kwa kusimamia vema miradi mbalimbali ya maendeleo katika mji wa Mbinga
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo awaagiza viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kuongeza kasi ya ujenzi ili kuweka mazingira mazuri ya kufundishia na kujifunzia
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.