Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameanza ziara ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma ambapo katika siku yake ya kwanza akiwa katika wilaya ya Tunduru ,mara baada ya kupokea taarifa ya shughuli za maendeleo Mkoa wa Ruvuma,pamoja na mambo mengine Waziri Mkuu alizungumzia mgogoro wa Kituo cha mabasi cha Tanga kilichopo Manispaa ya Songea ambapo ameagiza mgogoro huo umalizike haraka.
Hifadhi ya Taifa ya Nyerere inapita katika wilaya za Namtumbo na Tunduru mkoani Ruvuma.Kitemdo cha serikali kuanzisha hifadhi hiyo kunakwenda kuchochea
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.