Kijiji cha Mbati kilichopo mkoani Ruvuma kimebahatika kuwa na kivutio adimu cha utalii cha miti iliyogeuka mawe na kuvutia wageni wengi wanaotembelea katika kijiji hicho
Serikali imetoa jumla ya shilingi bilioni 37 ambazo zimetumika kujenga na kukarabati kiwanja cha ndege Songea
Mkoa wa Ruvuma umebahatika kuwa na vyuo kadhaa vya maendeleo ya wananchi.Chuo cha maendeleo ya wananchi Nandembo ni miongoni mwa vyuo hivyo ambacho kimekuwa msaada kwa vijana wa wilaya ya Tunduru na Mkoa wa Ruvuma kwa ujumla
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.