Mtazame Afisa Utalii wa Pori la Akiba Liparamba Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma Maajabu Mbogo akizungumzia vivutio vya utalii vinavyopatikana katika pori hilo.
Samaki wa mapambo wanaovuliwa katika eneo la Liuli wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wanachochea Maendeleo ya wakazi wa Nyasa.Ziwa Nyasa lina aina zaidi ya 400 za samaki wa Mapambo.
Ushoroba wa Selous/Niassa ambao unapita katika wilaya za Namtumbo na Tunduru mkoani Ruvuma unatajwa kuwa ndiyo eneo pekee duniani lililobakiwa na makundi makubwa ya tembo.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.