Mtazame Afisa Utalii wa Pori la Akiba Liparamba mkoani Ruvuma Maajabu Mbogo akizungumzia kivutio cha aina yake katika pori hilo kinachowashangaza wengi.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameagiza kuanzia sasa shule zote za mkoa wa Ruvuma zitumie chaki zilizotengenezwa Songea ili kuwainua wafanyabiashara wa Mkoa wa Ruvuma.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewasilisha salamu za upendo zilizotolewa na Rais Dkt John Magufuli katika kanisa la TAG Misufini mjini Songea mkoani Ruvuma.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.