Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameshiriki ibada Ya Jumapili ya leo katika kanisa la Anglikana Dayosisi la Ruvuma la Mtakatifu Nicholus mjini Songea.Pamoja na mambo mengine amechangia ujenzi wa nyumba ya mchungaji saruji tani tatu zenye thamani ya zaidi ya shilingi 900,000.
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Dkt.Wilison Charles kuelekea Uchaguzi Mkuu amekutana na wasimamizi wa uchaguzi kanda ya Ruvuma inayojumuisha mikoa ya Ruvuma,Mbeya,Mtwara,Lindi,Njombe na Iringa.Mkurugenzi huyo anefungua mafunzo ya uchaguzi ngazi ya kanda yaliyofanyika mjini Songea.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.