Utafiti unaonesha kuwa katika kila watalii 300 wanaoingia nchini Mkoa wa Ruvuma unapata mtalli mmoja tu hivyo kuanzishwa kwa mpango mkakati wa kukuza na kuongeza idadi ya watalii katika Mkoa wa Ruvuma unaweza kusaidia kuendeleza sekta ya utalii ambayo ni muhimu katika kukuza pato la Taifa.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amechangia ujenzi wa kanisa la Menonite la Songea tani tano za saruji katika maadhimisho ya kutimiza mwaka mmoja wa kanisa hilo
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO ) kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Maafa Dawati la Afya Moja wameendesha Mafunzo ya utayari wa kukabili magonjwa ambukizi ya mlipuko kwa Timu za dharura kwa mikoa ya Ruvuma na Mtwara
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.