Mkurugenzi wa Maafa toka ofisi ya Waziri Mkuu Kanali Jimmy Matamwe amesema zaidi ya asilimia 60 ya magonjwa anayougua binadamu yanasababishwa na wanyama.Alikuwa anafungua mafunzo ya utayari wa kukabili magonjwa ambukizi ya milipuko yaliyoshirikisha mikoa ya Ruvuma na Mtwara.
WANANCHI wa Mikoa ya Mbeya,Njombe na Ruvuma wameanza kunufaika na usafiri wa meli ya abiria ya MV Mbeya II katika ziwa Nyasa kuanzia Oktoba 5 mwaka huu
mtazame Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akizungumzia dhahabu ya kijani au korosho inavyobadilisha maisha ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma ambapo katika msimu uliopita wakulima kilo milioni 24 za korosho ambazo zimewawezesha wakulima kulipwa zaidi ya shilingi bilioni 62
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.