Serikali ya Awamu ya Tano imetoa shilingi bilioni 129.3 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa barabara ya lami yenye urefu wa kilometa 66 toka Mbinga hadi Mbambabay ambapo hadi sasa kilometa 40 zimekamilika
Utafiti iliyofanyika mwaka 2018 unaonesha kuwa Tanzania ina watoto milioni tatu wanaokabiliwa na udumavu ambayo ni sawa na kila watoto 100 watoto 32 wana UDUMAVU.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.